 |
| Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka akihutubia |
 |
| Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia |
 |
| Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli akihutubia |
 |
| Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nauye akihamasisha kwenye mkutano huo, Kushoto ni Mlezi wa mkoa wa Dar, Abdulrahman Kinana. |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira Uratibu na mahusiano, akizungumza kwenye mkutano huo
Chama Cha Mapinduzi kimedhihirisha wazi ni chama kinachowajibika ipasavyo, Katika Viwanja vya jangwani jana jioni wananchi wa mkoa wa Dar - es salaam walikusanyika kwa wingi kusikia yale muhimu ya chama chao na serikali na wamekubaliana na hayo moja kwa moja.
Wananchi wameelezwa mambo yote ya msingi ikiwa utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi ya chama,mipango ya kimaendeleo na mafanikio yalofikiwa.
No comments:
Post a Comment